Tusahau tofauti zetu wanachadema; Lissu
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu amewataka wanachama wa chama hicho kusahau mikwaruzano waliyopitia katika uchaguzi na kwenda mbele kukijenga chama pasipo kuweka tofauti zao