Jumla ya Vifo ni 518 ghasia za Uchaguzi Oktoba 29 Tume iliyoundwa kuchunguza ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imetoa ripoti ya inayonyesha kuwa jumla ya watu 518 walipoteza maisha katika vurugu hizo. Read more about Jumla ya Vifo ni 518 ghasia za Uchaguzi Oktoba 29