Auawa kwa tuhuma za wizi wa ng'ombe mkoani Geita Mtu mmoja mkazi wa kijiji cha Iponyamakalai Kata ya Nyakamwaga Wilaya ya Geita ameuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kukamatwa na nyama ya Ng’ombe Read more about Auawa kwa tuhuma za wizi wa ng'ombe mkoani Geita