Pacquiao asema yupo tayari kucheza Olimpiki 2016. Bondia Many Pacquiao amesema itakua faraja na heshima kwa taifa lake endapo atashiriki kwenye mashindano ya Olimpiki mwaka huu jijini Rio dejaneiro nchini Brazil. Read more about Pacquiao asema yupo tayari kucheza Olimpiki 2016.