Halima Mdee na wenzie,wasomewa shitaka la kujeruhi Mbunge wa Kawe Halima Mdee na wenzake wanne wasomewa shitaka moja la kumjeruhi katibu tawala wa mkoa wa Dar es salaam, katika mahakama ya Kisutu DSM Read more about Halima Mdee na wenzie,wasomewa shitaka la kujeruhi