Tuweke itikadi za siasa kando kwa Maendeleo-CCM

Kikao cha balaza la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Momba

Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Momba mkoani Songwe kimewataka madiwani wa halmashauri ya wilaya kujenga umoja na mshikamano pasipo kubaguana kutokana na itikadi za vyama.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS