Kipindupindu chaendelea kuwa tishio nchini
Watu tisa wamepoteza maisha na wengine 473 wameugua ugonjwa wa kipindupindu katika kipindi cha wiki moja toka February 22 hadi 28 mwaka huu huku mkoa wa Mara ukitajwa kuongoza kwa maambukizi mapya ya ugojwa huo.