Kante kukosa mechi mbili za Leicester City.
Vinara wa ligi kuu ya soka nchini Uingereza klabu ya Leicester City imepata pigo kufuatia taarifa za kiungo wake mahiri Ngolo Kante kuwa atakosa mechi mbili zijazo zinazoikabili klabu hiyo kufuatia kuwa majeruhi.