WBF wasema Cheka alishinda kihalali.
Baada Francis Cheka kuibuka na ushindi dhidi ya Geard Ajetovic raia wa Serbia anayefanya kazi zake nchini Uingereza, baadhi ya mashabiki wa michezo nchini wakiwemo wadau wa ngumi wamekuwa na maoni tofauti kuhusiana na matokeo ya mpambano huo.