Cheka ajiandaa kupambana na bondia toka Colombia Bondia Francis Cheka ambaye anashikilia Ubingwa wa Mabara wa WBF anatarajia kupanda ulingoni kupambana na bondia Alexander Bland kutoka nchini Colombia. Read more about Cheka ajiandaa kupambana na bondia toka Colombia