Yanga yaelekea Pemba leo kuiwinda Azam FC Kikosi cha Yanga kimeondoka hii leo kuelekea visiwani Pemba kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya soka Tanzania Bara dhidi ya Azam FC utakaopigwa Machi tano mwaka huu uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Read more about Yanga yaelekea Pemba leo kuiwinda Azam FC