Matuidi hababaishwi na kuzimwa kwa rekodi yao
Nyota wa klabu ya Paris st German ya Ufaransa Blaise Matuid amesema licha ya kusikitishwa na kupoteza mechi yao dhidi ya Olimpic Lyon hapo jana anaamini wapo kwenye hali nzuri ya kutwaa ubingwa na pia kufanya vyema barani Ulaya.