Serikali inaweka mazingira bora ya viwanda: Mpina
Wamiliki wa Viwanda nchini wameiomba serikali itatue kero ya upatikanaji wa nishati ya umeme pamoja na uingizwaji wa bidhaa nchini zisizotozwa kodi jambo linaloathiri viwanda vya ndani na kushindwa kuhimili ushindani.