Simba nayo "hiyooo" robo fainali kombe la TFF Simba SC imefanikiwa kwenda Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baada ya kuifunga Singida United mabao 5-1 jioni ya leo uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Read more about Simba nayo "hiyooo" robo fainali kombe la TFF