Watumishi 3 TIE wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu Wizara ya Elimu, Sayansi , Teknolojia na Ufundi nchini Tanzania imewasimamisha kazi watumishi watatu wa Taasisi ya Elimu nchini Tanzania TIE kutokana na kushindwa kusimamia vyema zabuni. Read more about Watumishi 3 TIE wasimamishwa kazi kwa ubadhirifu