JWTZ kuwasaka majambazi katika misitu ya Pwani
Wizara ya mambo ya ndani ya nchi nchini Tanzania imesema kuwa inakusudia kufanya mazungumzo ya kushirikisha jeshi la wananchi ili kuungana na jeshi la polisi katika kuwasaka majambazi wanaolisumbua jiji la Dar es salaam, waliokimbilia mkoani Pwani.