Yanga yatahadharisha watakaouza tiketi feki kesho Klabu ya Yanga imesema itakuwa makini kwa wananchi wote wanaotumia mchezo wa kesho wa marudiano wa klabu bingwa Afrika kati yao na Cercle De Joachim ya nchini Mauritius kwa ajili ya kujinufaisha. Read more about Yanga yatahadharisha watakaouza tiketi feki kesho