Chamberlain kuikosa Manchester United .
Kocha wa klabu ya Arsenal Mfaransa Arsène Wenger amethibitisha kuwa nyota Alex Oxlade-Chamberlain ataukosa mchezo muhimu wa ligi kuu nchini Uingereza dhidi ya Manchester United utakaopigwa Jumapili hii kutokana na kuwa majeruhi.