Sijui kama Wema alishawahi kuwa na Mimba -Mirror Msanii wa muziki wa bongo fleva Mirror, anayefanya kazi chini ya Wema Sepetu amesema hajui kama Wema alishawahi kuwa na mimba ila na yeye anasikia kwa watu na kwenye mitandao. Read more about Sijui kama Wema alishawahi kuwa na Mimba -Mirror