Nilianguka bahati mbaya kama binadamu Ray C. Msanii maarufu nchini wa muziki wa bongo fleva Rehema Chalamila, amesema watu wasimhukumu kwa hali aliyo nayo sasa kwani alianguka kama binadamu wengine . Read more about Nilianguka bahati mbaya kama binadamu Ray C.