Martin Jol Kocha mpya Al Ahly ya Misri. Kocha mpya wa mabingwa wa kihistoria wa klabu bingwa barani Africa Martin Jol. Klabu ya soka ya Al Ahly ya Misri imemtangaza aliyekuwa kocha wa zamani wa klabu za Ajax, Hamburg SV na Totenham Hotspurs Matin Jol kuwa kocha mpya klabuni hapo. Read more about Martin Jol Kocha mpya Al Ahly ya Misri.