TPBO yaweka imani kwa Cheka dhidi ya Ajetovic

Watanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi katika pambano la kuwania ubingwa wa mabara wa WBF utakaowakutanisha bondia namba moja nchini, Francis Cheka na bingwa wa ngumi kutokea bara la Ulaya, Geard Ajetovic ambaye amekwisha wasili nchini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS