Wakulima wa mpunga wamvamia mwekezaji wa Sukari
Wakulima wa mpunga katika skimu ya umwagiliaji Mawala kata ya Kahe wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro wamevamia na kuharibu miundombinu ya ugawaji maji kupeleka katika mashamba ya miwa ya mwekezaji wa kiwanda cha sukari TPC.