Yanga yainyamazisha Simba Taifa
Klabu ya soka ya wekundu wa Msimbazi Simba wameendeleza uteja mbele ya watani wao wa jadi Yanga baada ya kukubali kipigo cha bao 2-0 kwenye mechi ya ligi kuu ya soka Tanzania bara iliyopigwa jioni ya leo jijini Dar es salaam.