Kwasasa nafanya Muziki kwanza - Snura

Mwanamuziki na muigizaji Snura Mushi amesema muziki unamlipa zaidi ndio maana hafikirii kwa kipindi hiki kuwaahidi mashabiki wake ujio wowote wa filamu. "Muziki unalipa kwa kuwa kila kitu kinamhusu msanii na meneja wake, lakini filamu ina mambo mengi kiasi cha kumfanya msanii kuwa na mambo mengi"

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS