Ndanda FC kumkaribisha Mingange kwa pointi tatu Timu ya Ndanda FC ya Mjini Mtwara imesema, imejiandaa kwa ajili ya kujiweka katika nafasi nzuri katika kipindi hiki cha lala salama cha ligi kuu ya Soka Tanzania Bara. Read more about Ndanda FC kumkaribisha Mingange kwa pointi tatu