Magufuli apiga marufuku utoaji vibali vya sukari
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amepiga marufuku utoaji wa vibali vya kuagiza sukari nje ya nchi ili kulinda na kuimarisha viwanda vya ndani ambavyo viliathriwa kwa kiasi kikubwa cha bidhaa hiyo kutoka nje.