Madalali wa viazi kusajiliwa ili kukomesha utapeli

Uongozi wa kata ya Mang’oto wilayani Makete mkoani Njombe umeamua kuweka utaratibu wa kuwasajili madalali wote wa viazi katika kata hiyo ili kuepuka changamoto mbalimbali wanazokutana nazo wakulima ikiwemo kutapeliwa

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS