Tundu Lissu Ashinda Uenyekiti CHADEMA
Aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti aliyemaliza muda wake ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha Mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) akipata kura 513 (51.5%) akiwashinda wapinzani wake Freeman Mbowe