Upana wa kikosi cha Simba SC ni faida kubwa
Klabu ya Simba inaongoza ligi kuu Tanzania bara imekuwa na mwanzo kutokana na kuongoza katika maeneo makuu muhimu kitwakimu.Timu hiyo inaongoza kwenye ufungaji wa magoli ambapo mpaka sasa lihgi kuu imefunga magoli 25 huku ikiwa imeruhusu magoli 5 tu.