Fuata mbinu hii kutumia picha yoyote mtandaoni
Pablo Picasso aliwahi kunukuliwa ''Good artists copy, great artists steal'' akiwa na maana wasanii wazuri ni wale wanaochukua kazi za wengine na kuzifanya kama zilivyo ila wasanii bora ni wale wanaoiba kazi hizo na kuzifanya kwenye namna ya tofauti.