Idadi ya wanaojifunza lugha ya kichina imeongezeka
Wavuti ya kujifunza lugha mtandaoni inayofahamika kama Duolingo, imetoa takwimu zinazoonyesha kuwapo kwa ongezeko kubwa la idadi ya watu wanaojifunza Mandarinnchini Marekani, idadi ambayo ni kubwa ukilinganisha na miaka mingine.