Utafiti matumizi ya intaneti Tanzania kuanza Mkurugenzi wa Tume hiyo Nkundwe Moses Mwasaga (Kushoto) na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa UNESCO Tanzaniae Michael Toto Tume ya Tehema Tanzania yasaini mkataba na UNESCO (ICTC) imesaini mkataba wa ushirikiano na UNESCO kwa ajili ya utafiti wa matumizi ya intaneti. Read more about Utafiti matumizi ya intaneti Tanzania kuanza