Ripoti ya Tume ya uchunguzi kuwasilishwa Aprili 23 Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Read more about Ripoti ya Tume ya uchunguzi kuwasilishwa Aprili 23