Mlinzi wa hoteli akutwa ameuawa

Nguo za Mashaka zilizotapakaa damu

Mashaka aliyekuwa mlinzi katika Hoteli ya King iliyopo Kata ya Busresere wilayani Chato ameuawa kwa kupigwa na kitu kichwani usiku wa kuamkia Februari 11, 2023, katika eneo lake la kazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS