Masanja ahimiza ufugaji wa Nyuki
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wilaya ya Manyoni imetakiwa kuelimisha jamii juu ya umuhimu wa kujiunga na miradi ya ufugaji nyuki ili kuendeleza uhifadhi wa mazingira na kujiongezea kipato kutokana na mazao yatokanayo na ufugaji nyuki kama asali.