"Hatupaswi kuleta taharuki kwa wananchi"- Masanja
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja, amewataka Askari wa Uhifadhi katika maeneo mbalimbali nchini wazingatie sheria kanuni, taratibu na miongozo pindi wanapotekeleza majukumu yao ikiwemo kulinda maliasili.


