Wizara yapewa wiki moja vishikwambi vya walimu

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Sophia Mjema,

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimetoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu kuanzia leo Januari 20, 2023, kuhakikisha vishikwambi vilivyotolewa na serika kwa ajili ya walimu vinawafikia walengwa. 

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS