"Vyombo vya habari ni vya watu wote"- Askofu
Askofu Emaus Mwamakula wa Kanisa la Uamsho la Morovian, amesema kuwa vyombo vya habari ni jicho, sikio na ni mguso wa umma na Taifa kwani vinafanya kazi ya kuhabarisha, kuonya ama kufundisha watu wote katika nchi.