Huko nje sio shwari lindeni wadogo zenu - Samia
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wanafunzi na watanzania kuacha kuiga baadhi ya mambo ya nje ya nchi ambayo yanakwenda kinyume na mila na tamaduni za mtanzania huku akiwataka vijana kuwalinda wadogo zao kwa hali sio swari

