Mkurugenzi wa Idara ya habari maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Thobias Makoba
Siku 10 baada ya ajali ya ghorofa kuanguka Kariakoo, Serikali imeruhusu Maduka kufunguliwa kuendelea na biashara zao baaada ya zoezi la Maokoto na kuondoa kifusi kumalizika.