TPBRC yahimizwa kurekebisha kanuni za uendeshaji
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kupitia kwa Afisa Maendeleo ya Michezo na mwenye dawati la Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Nchini (TPBRC), Allen Alex ameitaka Kamati ya Utendaji ya Kamisheni hiyo kurekebisha kanuni zake za uendeshaji kwa maslahi mapana ya kamisheni hiyo.
