TEF wapongeza muswada kusomwa bungeni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania Deodatus Balile Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) limevipongeza vyombo vya habari kwa umoja katika kupambania muswada wa huduma wa vyombo vya habari kusomwa leo bungeni. Read more about TEF wapongeza muswada kusomwa bungeni