Rais Samia aruhusu mikutano ya hadhara
Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameondoa rasmi tangazo la kuzuia mikutano ya hadhara na kuruhusu vyama vya siasa kuanza kufanya mikutano hiyo kwa kufuata utaratibu uliowekwa kwa mujibu wa sheria na kanuni