Muswada wa sheria ya Habari kusomwa bungeni
Mwenyekiti wa Jukwaaa la Wahariri Tanzania (TEF) Deodatus Balile, amesema macho na masikio ya wadau wa habari nchini, yanaelekezwa jijini Dodoma kusubiri muswada wa Sheria ya Habari ukisomwa kwa mara ya kwanza Januari hii.