Ujenzi SGR watumia 23 Trilioni - Masanja Kadogosa
Mkurugenzi wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa , amesema Tanzania imetumia zaidi ya Sh 23 Trilioni kwa ajili ya kujenga Reli ya kisasa (SGR) inayolenga kuimarisha uchumi wa nchini, katika ukanda wa nchi za pembe ya Afrika Mashariki