Binadamu wa kwanza kupoteza dola bilioni 200
Elon Musk alikuwa mtu wa pili kuwahi kujikusanyia utajiri wa zaidi ya bilioni 200 akivunja rekodi ya kiwango hicho Januari 2021, miezi kadhaa baada ya Jeff Bezos. Sasa Elon Musk amekuwa binadamu wa kwanza kupata hasara ya dola bilioni 200 katika utajiri wake.