Chui atoroka bandani kwake na kuingia mitaani Mamlaka ya Afrika Kusini iko katika harakati za kumsaka chui anayemilikiwa na mtu binafsi ambaye ametoroka kutoka kwenye makazi aliyokua akifugwa huko Walkerville kusini mwa Johannesburg. Read more about Chui atoroka bandani kwake na kuingia mitaani