Mgao wa umeme kusababisha maandamano Afrika Kusini Makundi ya upinzani nchini Afrika Kusini, chama cha wafanyakazi na wamiliki wa biashara wametishia kuishtaki serikali kufuatia mgao mkali wa umeme nchini humo. Read more about Mgao wa umeme kusababisha maandamano Afrika Kusini