Maoni ya TANNA sio msimamo wa serikali

Wizara ya Afya imesema maoni yaliyotolewa January 11,2023 na Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) kuhusu sakata la Uyui la Rose na James, sio msimamo wa Serikali bali ni maoni yao kama Chama hiari cha kitaaluma

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS